LEO Desemba 14 kikosi cha Simba kinatarajia kutupa kete yake mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu.
Hiki haoa kikosi cha kwanza:-
Beno Kakolanya
Israel Mwenda
Gadiel
Kenenedy
Wawa
Kanoute
Banda
Mzamiru Yassin
Kibu Dennis
Sakho
Mhilu Yusuph
Akiba
Ally
Kapombe
Inonga
Mkude
Abdulsamad
Duncan
Kagere
Ajibu
Jimy