MERIDIAN GAMING GROUP KUSHIRIKI MAONESHO YA BRAZIL iGAMING SUMMIT

Wakali wa michezo ya kubashiri duniani wapo tayari kwa maonesho nchini Brazili, kutakuwa na ofa mpya za kubashiri sambamba na habari motomoto za jakipoti ya kasino.

 

Meridian Gaming Group ambao ni kampuni kubwa ya michezo ya kubashiri duniani na waasisi wa soko la America Kusini, watashiri kwenye maonesho ya Brazil iGaming Summit (BiS) 2021, maonesho makubwa zaidi kufanyika Sao Paolo, Disemba 1-2.

 

Ukizungumzia michezo ya kubashiri, Meridian Gaming inavitu vingi vipya kwenye soko la Brazili na Amerika Kusini, kubwa zaidi ni Tiketi ya Malipo kwenye akaunti za mtandaoni na sifa ya nafasi tatu. Kampuni hii ni miongoni mwa kampuni za mwanzo kuanza kufanya kazi kisheria kwenye ukanda huu na, ubobezi wake utachangia sana kwenye majadiliano ya kiuchumi na namna bora ya usimamizi kwenye hili soko.

 

Kutakua na safu tofauti za kasino, sloti ya Meridian Casino itaonekana kule Sao Paolo. Tayari ni kampuni inayojulikana zaidi duniani kutokana na upekee wa michezo yake na bonasi za aina mbili.

Kwa miezi mingi sasa, Meridian imekuwa ikilipa mamilioni ya ushindi na jakipoti za kasino lakini, ushindi mmoja uliweka rekodi kwenye michezo ya sloti duniani na, pengine itaendelea kubaki kwenye rekodi.

 

Kwa siku za hivi karibuni, Meridian imelipa jakipoti ya €1,129,692.15 kwenye mchezo wa sloti ya Wild Crusade: Empire Treasures. Haya ni malipo makubwa kwenye soko la Ulaya kwa siku za hivi karibuni.

 

Mtandao makini michezo na teknolojia ya kubashiri wa B2C na B2B, upo tayari kwa maonesho ya Brazili. Kwa taarifa zaidi na kupata tiketi yako, tuwasiliane kupitia https://meridian.bet/contact.html na info@meridianbet.com