
OLE ANAONA MAMBO MEUSI
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kichapo cha mabao 5-0 mbele ya Liverpool ni moja ya siku nyeusi kwake katika kazi ya kuwaongoza mastaa wa Manchester United. Ikiwa Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu England ilishuhudia vijana wa Kocha Mkuu Jurgen Klopp wakiwatungua mabao matano kupitia kwa Naby…