Home Sports SIMBA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

SIMBA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 

TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

 

Simba ambayo ilianza vema kipindi cha kwanza ilienda mapunziko ikiwa mbele kwa bao 1-0 goli la Larry Bwalya, lakini Galaxy waligeuza kibao kupachika magoli 3.

 

Matokeo ya Jumla ni 3-3 lakini Simba imetolewa kwa baada ya Galaxy kuwa na magoli mengi ya ugenini sasa Simba itacheza kwenye michuano ya kombe la shirikisho.

Previous articleSIMBA YAPEWA ONYO NA YANGA KIMATAIFA
Next articleHAJI MANARA ATUMA DONGO KIMTINDO SIMBA