MABINGWA WATETEZI WABANWA MBAVU KWA MKAPA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Oktoba 31 wamebwana mbavu mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kugawana pointi mojamoja. Katika mchezo wa leo ambao ulikuwa ni wa nguvu nyingi imeshuhudiwa ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-0 Coastal Union ya kule Tanga. Kadi mbili nyekundu…

Read More

MESSI MAMBO MAGUMU PSG

NYOTA wa kikosi cha PSG, mshambuliaji Lionel Messi mambo kwake ni magumu kwenye ishu ya kucheka na nyavu baada ya kuweka rekodi ya kucheza mechi tano bila kufunga. Ni giza nene limeendelea kutanda kwenye macho yake kwa sasa staa huyo ambaye alikuwa akikiwasha ndani ya Barcelona kwani tayari amecheza mechi hizo ndani ya Ligue 1…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA COASTAL UNION

LEO Oktoba 31 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wanatarajia kucheza na Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku. Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza leo kwa mujibu wa rekodi za Saleh Jembe:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Mzamiru…

Read More

ARSENAL GARI IMEWAKA HUKO

AARON Ramsdale kipa wa Arsenal aliweza kuwa imara akiwa langoni wakati timu yake iliposhinda mabao 2-0 dhidi ya Leicester City uliochezwa Uwanja wa King Power. Ilikuwa ni mabao ya Gabriel Magalhaes ilikuwa dakika ya 5 na lile la pili lilipachikwa na Emule Smith Rowe dakika ya 18 na kuipa pointi tatu timu hiyo inayonolewa na…

Read More

KOCHA NABI ATAJWA KUIBUKIA SIMBA

IMEELEZWA kuwa, licha ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, kuachia nafasi ya Uenyekiti waBodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, lakini bado anahusika kwenye baadhi ya mambo ikiwemo kipindi hiki chamchakato wa kusaka kocha mpya wa kuinoa timu hiyo.   Wakati Simba ikiwa kwenye mchakato wa kumsaka mrithi wa Kocha Didier Gomes aliyeachia ngazi Jumanne ya wiki hii, baadhi ya viongozi wa Simba wameonekana kulijadili jina la Kocha…

Read More

HITIMANA AUTAKA UBINGWA SIMBA

HITIMANA Thiery, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa timu hiyo inahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni timu kubwa na inawezekana kutokana na ukubwa wa timu hiyo. Mchezo wa kwanza kukaa kwenye benchi akiwa ni kaimu baada ya Didier Gomes kubwaga manyanga ilikuwa ni mbele ya Polisi Tanzania na Simba ilishinda…

Read More

FEI TOTO APELEKWA ULAYA

KITASA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania, Said Juma Makapu, amesema anaamini kwa kiwango alichonacho kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni muda wake sasa kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi. Kwa kusema hivyo kitasa huyo ni kama amempeleka Ulaya kiungo huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye ubora wake ndani ya Ligi…

Read More

MAMBO 7 YALIWATOA SIMBA KWENYE RELI LIGI YA MABINGWA

  KINYONGE kabisa wawakilishi pekee katika mashindano ya kimataifa Simba wanakwenda katika Kombe la Shirikisho baada ya Oktoba 24 kutolewa kizembe Uwanja wa Mkapa kwa kufungwa mabao matatu ya ajabu wakiwa nyumbani. Ni maumivu kwa mashabiki wa Simba,viongozi pamoja na wachezaji kwa kukosa nafasi ya kutinga hatua ya makundi, leo tunaangazia mabmbo 7 ambayo yaliifanya…

Read More

YANGA YAITUNGUA AZAM KWA MKAPA

DAKIKA 90, zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa NBC Ligi Kuu Bara.   Bao la kwanza la Yanga limefungwa na mshambuliaji Fiston Mayele dakika ya 36 kwa assist ya Shomari Kibwana, ya mchezo baada ya makosa ya mabeki wa Azam…

Read More

TUMAINI MABIGWA MERIDIAN BET STREET SOCCER BONANZA

  Timu ya Tumaini imetwaa ubingwa wa mashindano ya mtaani ya Meridian Bet street soccer bonanza yaliyofanyika leo Jumamosi kwenye uwanja wa Mwembeyanga, Temeke. Bonanza hilo lililoudhuliwa na mkuu wa kituo cha Mwembeyanga, msaidizi wa polisi Cathbert Christopher kwa niaba ya mkuu wa kituo cha Chang’ombe, ASP Mohammed lilishirikisha timu nne likipigwa kwa udhamini wa…

Read More

TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

MHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021. Mauti yamemfikia mchezaji huyo akiwa Ujiji Mkoani Kigoma.Pumzika kwa amani winga teleza Akilimali. Mchezaji ambaye alicheza naye mpira ndani ya Simba, Athuman Idd Chuji amemlilia nyota huyo kwa kusema kuwa pumzika kwa amani Yahya Akilimali.   Pumzika…

Read More

DAKIKA 450 ZA MOTO KWA GOMES

LICHA ya kwamba ameshabwanga manyanga ndani ya kikosi cha Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuna mechi nyingi ambazo alizishuhudia kwake zilikuwa ni za moto na pasua kichwa kwa namna wachezaji wake walivyopambana na mwisho kupata matokeo ama kuangukia pua. Hizi ni Mechi 5 ambazo ni dakika 450 zilizokuwa ni za moto kwa Gomes alipokuwa…

Read More

HAZARD AWEKWA RADA ZA CHELSEA

NYOTA wa Real Madrid, Eden Hazard ambaye mambo kwake yamekuwa magumu ndani ya kikosi hicho anatajwa kuingia kwenye rada za Newcastle pamoja na Chelsea. Nyota huyo hana furaha ndani ya Real Madrid kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara jambo ambalo limefanya ashindwe kuwa kwenye ubora ambao alikuwa nao alipokuwa akicheza ndani ya…

Read More