LEO Oktoba 31 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wanatarajia kucheza na Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.
Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza leo kwa mujibu wa rekodi za Saleh Jembe:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Mzamiru Yassin
Sadio Kanoute
John Bocco
Rally Bwalya
Bernard Morrison