Home Sports TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

TANZIA:MCHEZAJI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

MHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021.

Mauti yamemfikia mchezaji huyo akiwa Ujiji Mkoani Kigoma.Pumzika kwa amani winga teleza Akilimali.

Mchezaji ambaye alicheza naye mpira ndani ya Simba, Athuman Idd Chuji amemlilia nyota huyo kwa kusema kuwa pumzika kwa amani Yahya Akilimali.

 

Pumzika kwa amani.

Previous articleDAKIKA 450 ZA MOTO KWA GOMES
Next articleTUMAINI MABIGWA MERIDIAN BET STREET SOCCER BONANZA