YANGA YAITUNGUA AZAM KWA MKAPA
DAKIKA 90, zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku Yanga wakiibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa NBC Ligi Kuu Bara. Bao la kwanza la Yanga limefungwa na mshambuliaji Fiston Mayele dakika ya 36 kwa assist ya Shomari Kibwana, ya mchezo baada ya makosa ya mabeki wa Azam…