NABI REKODI ZAKE KAMA ZOTE YANGA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alitambulishwa ndani ya kikosi hicho ilikuwa ni Aprili 20 na alianza kazi yake ya kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo huo uliochezwa Aprili 24, Nabi alishuhudia Uwanja wa Mkapa ubao ukisoma Azam FC 1-0 Yanga hiyo ilikuwa inaitwa…