SIMBA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO MAEMA

Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho Agosti 21 2025 kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji ambaye yupo na timu kambini nchini Misri alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafanabafana kwenye CHAN 2024. Nyota huyo…

Read More

LADACK CHASAMBI KUONDOKA SIMBA SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi msimamo wake juu ya kiungo wake mshambuliaji, Ladack Chasambi kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao. Kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akaondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kwa msimu ujao ambapo inalezwa kuwa pengine anaweza kwenda KMC ama Namungo FC kwa mkopo. Benchi la ufundi…

Read More

AZAM FC YAACHANA NA KIPA MOHAMED MUSTAFA

Klabu ya Azam FC imeachana rasmi na kipa wake raia wa Sudan, Mohamed Mustafa, baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Azam FC imetoa ujumbe maalumu kuthibitisha kuachana huko, ikibainisha kuwa uhusiano huo umehitimishwa kwa amani na kwa heshima baina ya pande zote. Mustafa, ambaye alijiunga na…

Read More

WIKI YA MWANANCHI NI SEPTEMBA 12 2025

Yanga SC imeitangaza siku ya Ijumaa ya Septemba 12 2025 kuwa siku rasmi ya kilele cha wiki ya Wananchi. Hii ni siku maalum ambayo hutumiwa kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na kikosi kipya mbele ya mashabiki.  Pamoja na utambulisho huo matukio kama burudani za muziki na mechi kali ya soka hunogesha. Hili ni miongoni mwa…

Read More

MILIONEA MPYA KUTOKA MERIDIANBET, DAU DOGU, USHINDI MKUBWA

Ushindi mkubwa unaweza kuja kwa namna zisizotarajiwa, hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni. Kwa dau dogo la TZS 3,055/= amejiwekea historia kubadilisha kiasi hicho kidogo kuwa TZS 14,996,310/= Yote haya yalifanikishwa kwa urahisi kupitia USSD ya Meridianbet, ikithibitisha kuwa umakini na mikakati sahihi inaweza kubadilisha maisha. Huduma ya USSD imekuwa suluhisho rahisi kwa…

Read More

SIMBA SC KUZINDUA UZI MPYA AGOSTI 27 2025

UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa uzinduzi wa uzi mpya utakuwa watofauti kidogo kutokana na mpango kazi uliopo. “Jezi…

Read More

YANGA SC VS SIMBA SC KARIAKOO DABI SEPTEMBA 16 2025

KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga SC na Simba SC, Septemba 16, 2025 jijini Dar. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa kwa mwaka huu, Ngao ya Jamii itachezwa kwa mchezo mmoja pekee kufuatia mabadiliko ya…

Read More

FEISAL SALUM AFICHUA HESABU ZA TANZANIA CHAN 2024

WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal Salum amebainisha kuwa watapambana katika hatua ya robo fainali kupata matokeo mazuri. Mchezo huo uliopita hatua ya makundi ulikuwa wa kwanza kwa Tanzania kugawaa pointi mojamoja. Katika mechi tatu ambazo zilipita…

Read More

YUSUPH KAGOMA APEWA KAZI MAALUMU NA ALI KAMWE

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amempa kazi maalumu kiungo mkabaji wa Simba SC, Yusuph Kagoma kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco. Tayari hatua za makundi zimegota mwisho huku timu za Ukanda wa CECAFA zikiwa vinara katika makundi yao. Tanzania kutoka kundi B, Kenya kutoka kundi A na Uganda kutoka kundi…

Read More

MASTAA YANGA SC WAKIMBIZWA KUSAKA PUMZI NA UIMARA

MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar kwa lengo la kusaka pumzi na kuwa imara zaidi. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Msimu wa 2024/25…

Read More