
SIMBA SC KUACHANA NA KIPA HUYU MAZIMA
INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa msimu wa 2025/26 kipa wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Ayoub Lakred asiwe ndani ya kikosi hicho. Habari zinasema kuwa kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa sasa kuna timu mpya ambayo ameipata na ataitumikia kwa msimu ujao kuendelea na majukumu yake. Ni dili la miaka miwili…