
CR 7 ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA JOTA
MSHAMBULIAJI bora wa muda wote kwa sasa raia wa Ureno Cristiano Ronaldo ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Diogo Jota na kaka yake Andre Silva. Ulimwengu wa mpira kwa sasa unaomboleza kufuatia kutangulia mbele za haki kwa kijana huyo mwenye miaka 28. Kijana huyo alikuwa kwenye safari kuelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya…