
HARMONIZE AACHIA WIMBO MPYA “BEST COUPLE” AKIMSHIRIKISHA RUDEBOY
Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kuonyesha ubunifu na ubora wake katika tasnia ya muziki baada ya kuachia rasmi wimbo wake mpya uitwao “Best Couple”, akimshirikisha staa wa muziki kutoka Nigeria, Rudeboy (kutoka kundi la zamani la P-Square). Wimbo huo umetoka rasmi usiku wa kuamkia leo Juni 27, 2025 na tayari umeanza…