
RUVU SHOOTING:TUNA ASILIMIA NYINGI KUSHINDA MBELE YA YANGA
AMBROSE Morris, nahodha wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa wana asilimia nyingi za kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Itakuwa ni saa 12:15 jioni mchezo huo wa kukata na mundu unatarajiwa kuanza huku viingilio ikiwa ni 5,000 mzunguko,10,000 VIP B na VIP A itakuwa ni 15,000. Akizungumza na Saleh…