MSIMAMO WA LIGI KUU BARA HUU HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC Premier Ligi inazidi kuchanja mbunga ambapo tayari kuna timu zimeanza kuonja ladha ya kuwa nafasi ya kwanza pamoja na ile ladha ya kuwa nafasi ya mwisho ndani ya msimu wa 2021/22 ambao unakwenda kwa kasi.

 

Huu hapa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakiwa ni namba moja na kwenye mechi zao nne wameshinda zote chini