
KOCHA YANGA AOMBA KAZI SIMBA … SOMA HAPA
KATIKA rundo la CV ambazo Simba imezipokea kwa ajili ya nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo, kuna majina ya makocha kadhaa waliowahi kuifundisha Yanga. Simba sasa inasaka mrithi wa Mfaransa, Didier Gomes, aliyetangaza kujiuzulu klabuni hapo baada ya matokeo mabaya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Baadhi ya makocha waliowahi kuifundisha Yanga wanaitajwa zaidi…