WIKIENDI BOMBA NDANI YA EPL, SERIE A NA LIGUE 1

Ni wikiendi inayopamba na michezo kadhaa ya kukata na shoka kwenye ulimwengu wa soka barani Ulaya. EPL, Serie A na Ligue 1, zinaweza kukupatia mamilioni ya pesa kwa Odds Bora zilizopo kwenye michezo ya wikiendi hii. Mambo yapo huku!

 

Ligue 1 itafungua duru ya burudani la wikiendi ijumaa hii. PSG kuwaalika Lille katika jiji la Paris, Ufaransa. Huu ni msimu ambao vijana wa Mauricio Pochettino wanakisasi cha kulipa dhidi ya Lille ambao waliibuka vinara wa ligi msimu uliopita. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.27 kwa PSG.

 

Pale Tottenham Hot Spur Stadium kutachezwa mechi kali kati ya wenyeji, Spurs vs Manchester United. Bado hali si shwari ndani na nje ya klabu ya Manchester United. Vuguvugu la kibarua cha Ole Gunnar Solsksjaer kuota nyasi, linaongezeka. Timu zote zinahitaji ushindi kwenye mchezo huu, nani ni nani baada ya dakika 90? Ifuate Odds ya 2.50 kwa United kupitia Meridianbet.

Arsenal uso kwa uso na Leicester City katika dimba la Emirate Stadium. Hizi ni timu ambazo zipo kwenye kiwango bora kuelekea mchezo huu. Lolote linaweza kutokea kwa viwango vilivyopo kwenye timu hizi. Wikiendi hii, ifuate Odds ya 2.44 kwa Leicester City ndani ya Meridianbet.

 

Kwenye Serie A, AS Roma kuwaalika AC Milan Jumapili hii. Milan wamekua bora zaidi kwenye michezo ya Ligi kuliko kwenye mashindano ya Uefa. Roma kwa upande wao, hawatabiriki. Jose Mourinho bado anakazi ya kufanya na wachezaji wake. Ushindi wako upo kwenye Odds ya 2.50 kwa Roma.

 

Anza wiki mpya kwa mchezo wa EPL kati ya Wolverhampton Wanderers vs Everton. Ni timu mbili zenye viwango vinavyokaribiana lakini, dakika 90 zitaamua nani ni bora zaidi ya mwingine? Maamuzi yao, faida yako. Ifuate Odds ya 2.20 kwa Wolves ukiwa na Meridianbet.

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!