Home Sports ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

KIM Poulssen Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Novemba Mosi ametangaza kikosi cha timu ya taifa ambacho kitakuwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za kuwania kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.
Hii hapa orodha ya wachezaji wa Stars:-
Makipa
Aishi Manula wa Simba,
Metacha Mnata wa Polisi Tanzania
Ramadhan Kabwili wa Yanga,
Mabeki
Shomari Kapombe wa Simba,
Kibwana Shomari wa Yanga.
Israel Mwenda wa Simba
Mohamed Hussein wa Simba
Erasto Nyoni wa Simba,
Dickson Job wa Yanga,
Bakari Mwamnyeto wa Yanga,
Kennedy Juma wa Simba,
Lusajo Mwaikenda wa Azam FC,
Edward Manyama wa Azam FC,
Nickson Kibabage wa KMC,
Viungo
Meshack Abraham wa Kagera Sugar,
Novartus Dismas wa Maccabi Tel Aviv-Israel.
Mzamiru Yassin wa Simba,
Ramadhan Chombo wa Biashara United,
Zawad Mauya wa Yanga,
Feisal Salum wa Yanga,
Washambuliaji
John Bocco wa Simba
Iddy Seleman wa Azam FC
Abdul Hamis Suleiman wa Coastal Union
Mbwana Samatta wa Royal Antwerp ya Ubelgiji
Kibu Denis wa Simba
Relliants Lusajo wa Namungo
Simon Msuva wa Wydad AC -Morocco
Previous articleKUMBE ILIKUWA NI GHAFLA TU KUMFUTA KAZI NUNO
Next articleHAJI MANARA AWAIBUA WAZAWA WA KAZI CHAFU