
ISHU YA MARTIAL KUGOMA KUCHEZA MANCHESTER UNITED AFUNGUKA
ANTHONY Martial, mshambuliaji wa Manchester United amekanusha madai ya Kocha Mkuu Ralf Rangnick kwamba hakutaka kuwa sehemu ya kikosi kilichotoka sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Aston Villa. Martial anataka kuondoka ndani ya Manchester United na timu unayotajwa kuisaka saini yake ni Sevilla ambayo inahitaji kupata huduma yake. Katika Uwanja wa Villa Park, United…