KMC KAMILI KUIVAA TANZANIA PRISONS

TANZANIA One,kipa bora wa muda wote Juma Kaseja kuhusu mchezo wa kesho Januari 16 dhidi ya Tanzania Prisons ameweka wazi kwamba wanahitaji pointi tatu. Kaseja ni nahodha wa KMC kesho anatarajia kuwaongoza wachezaji wenzake katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Nelson Mandela. Kwenye msimamo KMC ipo nafasi ya 13 na pointi 11…

Read More

RASMI CHAMA NI MALI YA SIMBA

RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya Simba akitokea Klabu ya RS Berkane ambapo alikuwa huko akikipiga. Aliibuka msimu wa 2021/22 akitokea Simba lakini kwenye mkataba wake mpya kulikuwa na suala la kurejea ndani ya timu hiyo ikiwa kutakuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Unakuwa ni usajili wa kwanza kutangazwa rasmi na Simba katika…

Read More

YANGA YAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KAZI

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi nyota Ibrahim Bacca kuwa ni njano na kijani kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22. Nyota huyo wa zamani wa KMKM,Malindi na Taifa Jang’ombe sasa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Anaungana na Salim Aboubakhari, ‘Sure Boy’,Dennis Nkane,Aboutwalib Mshery ambao ni nyota…

Read More

GEITA GOLD KAMILI KUIVAA DODOMA JIJI

KIKOSI cha Geita Gold kimeshatia timu makao makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Januari 15 Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Geita Gold ni miongoni mwa timu ambazo zimepanda ligi msimu huu na imeweza kufanya usajili wa nyota…

Read More

FAINALI DUME,DAKIKA 45 AZAM FC 0-0 SIMBA

NGOMA kwa sasa ni mapumziko mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Uwanja wa Amaan. Dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kukamilisha ngwe ya kwanza bila kuweza kufungana. Ni bonge moja ya mchezo umechezwa Uwanja wa Amaan ambapo timu zote zinaonesha kwamba zinasaka Kombe la Mapinduzi. Hakuna kadi…

Read More

KITAWAKA MAPINDUZI CUP LEO, SIMBA NA AZAM

MADOA MADOA yote yaliyojificha yatajulikana leo kutokana na balaa ambalo linakwenda kufanywa na nyota hawa ambao wanapewa nafasi ya kukinukisha katika fainali ya Kombe la Mapinduzi. Hapa Spoti Xtra linakuletea nyota wa Simba na Azam FC ambao wanatarajiwa kusaka mbabe atakayesepa na taji hilokatika fainali itakayochezwa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. SIMBA SCAishi ManulaNi kipa…

Read More

SALAH AVUNJA UKIMIYA LIVERPOOL

MOHAMED Salah amesema hatma yake ndani ya Liverpool iko mikononi mwaka bodi ya klabu hiyo, ila yeye anapenda kuendelea kubaki Anfield. Ishu ya Salah kusaini mkataba mpya ndani ya Liverpool imekuwa ikizungumzwa tangu mwaka jana lakini hakuna muafaka uliofikiwa mpaka sasa. Salah anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya miezi 18 ijayo katika klabu hiyo na…

Read More

DTB YAPANIA KUZIPIKU SIMBA, YANGA

KUFUATIA mwenendo mzuri wa usajili waunaofanywaDTB, mwenyekiti wa klabu hiyo, Ibrahim Mirambo amejigambakuwa, wamepania zaidi kuhakikisha wanamsajilimchezaji yeyote hata awe chaguo la Simba au Yanga. DTB ndiyo vinara wa Championship ambapo hadi sasa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 36,walizozivuna kwenye michezo 14. Akizungumza na Spoti Xtra, Mirambo ameweka wazi kuwa:“Bado tunafanya usajili,…

Read More