
YANGA YAIPELEKEA MZIKI MNENE COASTAL UNION
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Kikosi cha Yanga kimerejea kambini jana Jumatano ambapo uongozi umefunguka kuwa utaenda kucheza mchezo huo wakiwa na kikosi kamili ili kujihakikishia ubingwa. Yanga ilirejea Dar juzi Jumanne ikitokea Zanzibar baada ya kutolewa hatua ya nusu fainali ya…