HII HAPA ORODHA YA WAKALI WA KUCHEKA NYAVU

WACHEZAJI ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora wanapambana katika kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja msimu wa 2024/25. Kwenye eneo la ufungaji kuna wakali katika kucheka na nyavu hapa tunakuletea orodha yao namna hii:- Jean Ahoua-15 Jean Ahoua  kiungo mshambuliaji wa Simba SC yeye ni namba moja akiwa katupia…

Read More

ANAONDOKA YANGA SC KIUNGO WA KAZI AZIZ KI

INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Aziz Ki anasepa mazima ndani ya kikosi hicho baada ya kupata ofa kutoka Wydad ambayo inahitaji huduma yake. Taarifa zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa kiungo huyo akaondoka mapema kujiunga na timu mpya kwa ajili ya changamoto mpya. Ki…

Read More

SIMBA HAWAJAKATA TAMAA KIMATAIFA, KAZI INAENDELEA

SHOMARI Kapombe, nahodha msaidizi wa Simba SC na beki wa kikosi hicho ameweka wazi kuwa wanatambua wamepoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane lakini watapambana kupata matokeo mchezo wa pili. Ikumbukwe kwamba Mei 17 2025 kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya kwanza uliochezwa nchini Morocco…

Read More

GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET – JIANDIKISHE KWENYE HISTORIA YA WASHINDI

Meridianbet imezindua mchezo mpya wa sloti ambao kila mchezaji lazima aujaribu! Karibu kwenye GATES OF OLIMPIA, sloti ya kusisimua kutoka Expanse Studios, ambapo kila mzunguko wa reels unafungua lango la bahati, zawadi, na utukufu wa kipekee. Mchezo huu ni mzigo kamili kwa mashabiki wa sloti, wale wanaopenda ushindi wa haraka, na watu wanaotafuta njia rahisi…

Read More

YANGA YATINGA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Katika mchezo wa nusu fainali CRDB Federation Cup iliyochezwa Mei 18 2025 ubao umesoma 2-0 JKT Tanzania Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mabao ya Prince Dube dakika ya 41 kwa makosa ya safu ya ulinzi…

Read More

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MABORESHO YANAYOENDELEA KWA MKAPA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 17, 2025 amekagua ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua maboresho ya viwanja kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya AFCON na CHAN yanayotarajiwa kufanyika nchini hivi karibuni. Akiwa uwanjani hapo, Majaliwa ambaye aliambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni,…

Read More

BUNDESLIGA NA LIGUE 1 KUMALIZA MSIMU KWA KISHINDO – BONYEZA HAPA KUPATA MKWANJA

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kuelekea kumalizika kwa ligi mbalimbali wanakupatia Odds za kibabe kabisa ambazo zitakufanya utambe mjini leo. Unasubiri nini sasa kusuka jamvi lako hapa? BUNDESLIGA kule Ujerumani kumalizika leo ambapo RB Leipzig ataumana dhidi ya VFB Stuttgart ambapo tofauti yao ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana RB alipigika hivyo leo…

Read More

JKT TANZANIA INAFIKIRIA USHINDI DHIDI YA YANGA SC

JKT Tanzania kamili kwa mchezo dhidi ya Yanga SC Masau Bwire abainisha wazi kuwa wapo tayari kwa mapambano ndani ya uwanja Mkwakwani, Tanga dakika 90 za jasho kwa wababe wawili MASAU Bwire, Ofisa Habari wa JKT Tanzania amesema kuwa wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Yanga SC mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei…

Read More

YANGA SC KAMILI KUIKABILI JKT TANZANIA MEI 18 2025

Khalid Aucho amerejea uwanja wa mazoezi kamili kwa kazi kuwakabili JKT Tanzania. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa taji hilo Pacome kiungo wa kazi anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaotoa burudani, Mkwakwani Tanga YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ipo kamili kuwakabili wapinzani wake kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya JKT…

Read More

VIDEO: RICARDO MOMO NA SAKATA LA KARIAKOO DABI

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Ricardo Momo ameweka wazi kuwa kuhusu Kariakoo Dabi sheria ifuatwe tu kutokana na yale ambayo yalitokea. Huku akibainisha kuwa kulikuwa na malalamiko kutoka Simba SC ambao nao walibainisha kuwa hawatacheza mechi zao zote majibu yanapaswa kupatiwa na bodi ya ligi taarifa yao iliyotolewa na Yanga SC nao wana malalamiko…

Read More