
TFF YAMFUNGIA RAMADHAN MISSIRU MIAKA 6 KWA UKIUKAJI WA MAADILI
Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Ramadhan Missiru kujihusisha na masuala ya mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 6 na kulipa faini ya Tsh milioni tano baada ya kutiwa hatiani kwa…