
TANZANIA VS MADAGASCAR CHAN 2024 KWA MKAPA KESHO
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Agosti 9 2025 inatarajiwa kucheza mchezo wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024). Huo utakuwa ni mchezo wa tatu kwa Tanzania. Ni Tanzania vs Madagascar CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Mechi mbili zilizopita Tanzania ilipata ushindi kwa kuvuna pointi sita…