LIVERPOOL WATOA TAARIFA KUHUSU DIOGO JOTA

NYOTA Diogo Jota, ametangulia mbele za haki kwa ajali akiwa na miaka 28 tu. Mchezaji huyo wa mpira wa lipoteza maisha yake katika ajali ya gari iliyotokea Zamora karibu na mpaka wa Kaskazini-Magharibi kati Uhispania na Ureno. Katika gari hiyo alikuwa na kaka yake ambaye naye ametangulia mbele za haki.  Waajiri wake Liverpool mabingwa wa…

Read More

DIOGO JOTA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI MBAYA HISPANIA

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno, Diogo Jota, aliyekuwa na umri wa miaka 28, amefariki dunia mapema leo asubuhi, Julai 3, 2025, katika ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye mkoa wa Zamora, nchini Hispania. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari vya Hispania na Uingereza, ajali hiyo imetokea katika eneo la Palacios de Sanabria na…

Read More

KOCHA WA AL HILAL KUINOA AZAM FC MSIMU MPYA?

KOCHA Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan, Florent Ibenge inatajwa kuwa amemalizana na matajiri wa Dar, Azam FC kuwa kwenye benchi la ufundi kwa msimu wa 2025/26. Inaelezwa kuwa Ibenge amemalizana na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC msimu wa 2024/25 imeambulia patupu kwenye mataji…

Read More

NYOTA HUYU WA YANGA SC ALIKIMBIZA

ISRAEL Mwenda, beki wa kulia wa Yanga SC ndani ya kikosi cha Yanga SC alikimbiza kwa muda mfupi ambao alitua hapo. Mwenda alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi na kwenye mchezo dhidi ya mabosi wake wa zamani Simba SC alipewa kazi maalumu kumkaba Ellie Mpanzu nyota wa Simba SC. Mwenda ameweka…

Read More

ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA, MILOUD HAMDI ATEULIWA ISMAILY

Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga  ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi endapo pande zote zitakubaliana. Hamdi anajiunga na Ismaily akitokea Yanga , ambako aliandika historia ya…

Read More

MUSONDA NA IKANGALOMBO KUKUTANA NA THANK YOU YANGA SC

INAELEZWA kuwa nyota wawili wa Yanga SC hawatakuwa ndani ya kikosi hicho kilichotwaa ubingwa wa ligi ya NBC msimu wa 2024/25. Ni Jonathan Ikangalombo ambaye kwa msimu wa 2024/25 alipata nafasi kucheza mechi sita akitoa pasi mbili za mabao na straika Mzambia Kennedy Musonda ambaye alipata nafasi kucheza mechi 14 za ligi na kufunga mabao…

Read More

SAMSUNG A25 NI YAKO! BASHIRI NA USSD

Kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imezindua promosheni mpya inayowapa wateja wake nafasi ya kujishindia simu ya kisasa aina ya Samsung A25. Kupitia huduma ya USSD, kila mchezaji anaweza kubashiri mechi za ligi mbalimbali bila intaneti, kwa kupiga *149*10# moja kwa moja kwenye simu. Promosheni hii ni ya mwezi mmoja pekee ambayo imeanza tarehe 01 Julai…

Read More

SIMBA SC KUPIGA PANGA MASTAA WAKE

SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids inaelezwa kuwa kwenye mpango wa kuachana na mastaa wake zaidi ya watano kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Simba SC imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. Pointi 78 baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700. Safu ya ushambuliaji imefunga mabao 69 ikiwa namba mbili kwa timu…

Read More

JULAI IMEWASILI NA SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KABISA

Julai hii, Meridianbet imeamua kukufurahisha kwa promosheni ya kipekee itakayobadilisha maisha ya wabashiri wa meridianbet. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, watumiaji wote waliosajiliwa kupitia tovuti au app ya Meridianbet wanapata nafasi ya kuingia kwenye droo maalum na kushinda moja kati ya simu tano mpya aina ya Samsung Galaxy A25. Ni promosheni inayowalenga wachezaji…

Read More

ALI KAMWE, ASHANGAZWA NA MAUNO YA BONGE LA DADA

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha kushangazwa na mauno ya Queen Fraison maarufu kama Bonge la Dada, kupitia video iliyosambaa mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Kamwe aliandika kwa utani: “Bora mimi nilikuwa naangalia nywele…” 😂😂😂😂 Kauli hiyo imeibua vicheko na mijadala miongoni mwa mashabiki, huku wengine wakiongeza maneno yao…

Read More

SIMBA SC KUACHANA NA KIPA HUYU MAZIMA

INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa msimu wa 2025/26 kipa wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Ayoub Lakred asiwe ndani ya kikosi hicho. Habari zinasema kuwa kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa sasa kuna timu mpya ambayo ameipata na ataitumikia kwa msimu ujao kuendelea na majukumu yake. Ni dili la miaka miwili…

Read More