AZAM FC 0-0 YANGA,KOMBE LA MAPINDUZI

KOMBE la Mapinduzi,nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Amaan dakika 45 za awali zimeguka. Azam FC 0-0 Yanga mpaka sasa hakuna timu ambayo imeona lango la mpinzani. Mshindi wa fainali hii ya kwanza atakutana na mshindi wa fainali ya pili ambapo kutakuwa na mchezo kati ya Namungo FC dhidi ya Simba. Mabingwa watetezi wa Kombe…

Read More

KIPA SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

JEREMIA Kisubi, kipa namba tatu wa Simba leo Januari 10,2022 ametambulishwa ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar. Usajili wake ni wa mkopo akitokea Simba ambapo huko alikuwa hapati nafasi ya kuanza katika mechi za ushindani.   Aliibuka ndani ya Simba akitokea Tanzania Prisons ambapo huko alikuwa ni chaguo namba moja la benchi la ufundi. Ni…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WAANZA KAZI

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga umeanza kazi kwa ajili ya kuivutia kasi Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi unaotarajiwa kuchezwa leo. Januari 10,2022 Yanga ambao ni mabingwa watetezi wana kazi ya kusaka ushindi mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15. Fiston…

Read More

ARTETA AKASIRISHWA KUTOLEWA KOMBE LA FA

MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa ni maumivu makubwa wameyapata baada ya kupoteza mbele ya Nottm Forest na kutolewa kwenye Kombe la FA. Katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA ubao wa Uwanja wa City Ground ulisoma Nottm Forest 1-0 Arsenal. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Lewis Grabban dakika…

Read More

MOTO WA KIBU DENNIS HAUPOI

MOJA ya washambuliaji ambao wameweza kuandika rekodi ya kipekee kwa msimu wa 2021/22 ndani ya Simba ni pamoja na Kibu Dennis ambaye alipopata nafasi ya kufunga bao la kwanza moto wake haujazima. Baada ya kufanikiwa kupachika bao hilo kwenye kila mchezo ambao amecheza ndani ya ligi katika mechi nne mfululizo ambazo ni dakika 360 amekuwa…

Read More

PABLO ALITAKA KOMBE LA MAPINDUZI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanahitaji kulitwaa Kombe la Mapinduzi hivyo leo watapambana kupata matokeo mbele ya Namungo FC. Saa 2:15 usiku Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mshindi wa mchezo wa leo atakutana na mshindi wa mchezo wa nusu…

Read More

KOMBE LA MAPINDUZI RATIBA YA NUSU FAINALI

LEO Jumatatu, Januari 10,2022 inatarajiwa kuchezwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa. Ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambao ni Yanga wao watamenyana na Azam FC itakuwa ni saa 10:15 jioni. Mchezo mwingine ni ule wa pili ambao utazikutanisha Simba v Namungo, itakuwa ni saa 2:15 usiku. Washindi kwenye…

Read More

SAIDO AFUATWA NA WAARABU BURUNDI

TAARIFA zinasema kwamba, Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amefuatwa nyumbani kwao Burundi na viongozi wa timu moja kutoka Uarabuni kwa ajili ya mazungumzo ili kumsajili. Saido ambaye hivi karibuni aliondoka Tanzania kwenda Burundi kwa ajili ya mapumziko mafupi, wakati akiwa huko ndipo Waarabu hao walipomuibukia kwa nia ya kumshawishi wamsajili. Nyota huyo aliyetua Yanga dirisha dogo la msimu uliopita, mkataba wake unatarajiwa kumalizikamwisho wa msimu huu. Mtu wa…

Read More

NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA AZAM FC KESHO

KUELEKEA katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kesho Januari 10 kati ya Yanga dhidi ya Azam FC baadhi ya nyota wanatarajiwa kuukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali. Yanga ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi ambapo waliweza kulitwaa taji hilo kwa ushindi wa penalti mbele ya Simba. Ni Salum Aboubakhari, ‘SureBoy’ ambaye ni kiungo…

Read More

PABLO:TUMEAMUA KUWAPA FURAHA MASHABIKI WETU

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachagua kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo hivyo kesho watafanya vizuri kusaka ushindi. Januari 10 Simba itakuwa na kibarua kwenye Kombe la Mapinduzi ambapo inatarajia kumenyana na Namungo FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali. Mchezo wake uliopita ilitoshana nguvu na Mlandege na dakika 90 zilikamilika…

Read More

MILIONI 50 ZATUMIKA KWA YANGA KUSEPA NA MSHAMBULIAJI

IMEFAHAMIKA kuwa uongozi wa Yanga umetumia Sh 50 Mil kufanikisha usajili wa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Chrispin Ngushi aliyekuwa akiwindwa pia na Simba na kumpa mkataba wa miaka mitatu. Usajili wa Ngushi mwenye mabao matatu akicheza michezo 11 ya Ligi Kuu Bara msimu huu, ni wa nne kwa Yanga kusajiliwa kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo uliofunguliwa Desemba 16, 2021. Wachezaji wengine waliosajiliwa na Yanga na kutambulishwa ni Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ kutoka Azam…

Read More

VIDEO:POPAT AZUNGUMZIA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA

ABDULKARIM Amin,’Popat’ Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa kesho dhidi ya Yanga utakuwa na ushindani mkubwa lakini wamejipanga kusaka ushindi. Kesho Januari 10 Yanga inatarajiwa kucheza na Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi. Yanga ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi na mchezo…

Read More

VAR KUTUMIKA AFCON, MAMBO YANAANZA LEO

HATIMAYE kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano ya AFCON, mechi zote 52 zitatumia marefa wasaidizi wa picha za video (Video Assistant Referees – VAR) huko Cameroon. Michuano hiyo itaanza rasmi leo Jumapili Januari 9, 2022 ambapo wenyeji Cameroon watacheza na Burkinafaso katika uwanja wa Olembe huko Yaounde. Mechi ya mwisho itachezwa Februari 6…

Read More

RALF AKIRI NYOTA MAN U WANATAKA KUSEPA

RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United kwa muda amekiri kwamba mastaa kadhaa wa timu hiyo wanataka kuondoka mara tu baada ya mikataba yao kuisha. Hivi karibuni ilielezwa kuwa mastaa 17 wa kikosi cha Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England wanataka kuondoka kutokana na kuona mambo hayaendi ndani ya timu hiyo. Kocha huyo hajaweka wazi…

Read More