Home Sports DAKIKA 90 NGOMA NI NZITO, MSHINDI KUPATIKANA KWA PENALTI

DAKIKA 90 NGOMA NI NZITO, MSHINDI KUPATIKANA KWA PENALTI

 

WBABE wawili wamekamilisha dakika 90 bila kufungana kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi hatu ya nusu fainai.

Kwa sare hiyo sasa mshindi anakwenda kupatikana kwa changamoto ya penalti Uwanja wa Amaan.

Ni asilimia 53 Azam FC waliweza kuwa kwenye umilliki na 47 ilikuwa kwa Yanga huku mashuti matatu kwa Azam FC yalilenga lango na ni shuti moja kwa Yanga ambalo lililenga lango.

Kipa Aboutwalib Mshery amekwenda benchi na Johora Eric ameweza kuingia dakika ya 90 kwa kazi maalumu ya kucheza penalti.

Kiungo Feisal hakuweza kukamilisha dakika 90 kwa kuwa aliumia.

Previous articleAZAM FC 0-0 YANGA,KOMBE LA MAPINDUZI
Next articleAZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI