KIIZA AWEKA REKODI YA AJABU
HAMIS Kiiza (Diego) ndiye aliyebaki kwenye kumbukumbu mbaya kwenye vitabu vya Simba baada ya kuwafungia Kagera Sugar bao 1-0 na Simba kukosa alama tatu kwenye mechi tatu mfululizo. Kiiza aliingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Ally Ramadhan na ilimchukua dakika 12 pekee kuweza kuweka utofauti wa matokeo kwenye mchezo huo. Kwa bao lake hilo…