Home Sports AZAM FC 0-0 YANGA,KOMBE LA MAPINDUZI

AZAM FC 0-0 YANGA,KOMBE LA MAPINDUZI

KOMBE la Mapinduzi,nusu fainali ya kwanza, Uwanja wa Amaan dakika 45 za awali zimeguka.

Azam FC 0-0 Yanga mpaka sasa hakuna timu ambayo imeona lango la mpinzani.

Mshindi wa fainali hii ya kwanza atakutana na mshindi wa fainali ya pili ambapo kutakuwa na mchezo kati ya Namungo FC dhidi ya Simba.

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi ni Yanga ambao wameweka wazi kuwa wanahitaji kutwaa taji hilo.

Previous articleKIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AZAM FC FULL MKOKO
Next articleDAKIKA 90 NGOMA NI NZITO, MSHINDI KUPATIKANA KWA PENALTI