>

MKWAKWANI,DAKIKA 45,COASTAL UNION 0-1 YANGA

UWANJA wa Mkwakwani Januari 16 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Yanga ni mapumziko.

Yanga inakwenda vyumbani ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 katika dakika 45 za mwanzo.

Ni bao la Fiston Mayele anamtungua Mussa Mbissa dakika ya 40 akiwa ndani ya 18.

Coastal Union wanacheza mpira huku Yanga wakiwa katika mbinu ya kusaka mabao zaidi.