CHEKA, ALKASASU KUPASUANA USIKU WA MISHINDO
MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Muksini Swalehe ‘Alkasusu’ na Cosmas Cheka wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 3, mwaka huu katika pambano la usiku wa mishindo ambalo limepangwa kupigwa kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar. Pambano hilo limetambulishwa leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Atriums ambalo litashirikisha mabondia wengi, limeandaliwa…