SIMULIZI YA ALIYEKUWA NA TATIZO LA KIAFYA

    SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa na tatizo la afya baadaye akarejea kwenye ubora

    Ama kwa hakika kila mtu hufurahia kuona wapendwa wao wakiishi kwa amani na wenye afya
    kila siku.

    Hali ilikuwa tofauti kwetu kwani mama mzazi alikuwa katika hali mbaya ya kifafa ambayo kila mara ilitukosesha usingizi kama wanawe.

    Kwa jina ni Kamau kutoka Nyamira. Kifafa
    ama kwa hakika kilikuwa ni donda sugu katika familia yetu haswa kwa mama yetu mzazi.

    Mama alikuwa na miaka sitini na saba na hapo akaanza kuonyesha dalili za kuwa na kifafa. Kila mara alianguka na kuanza kufanya kama mtu aliyekuwa akizimia.

    Swala hili lilitupa mchanganyiko wa mawazo kama wanawe kwani ugonjwa ule haukumpa mama yetu fursa nzuri ya kuzeeka
    polepole.

    Kila mara tulimpeleka hospiltalini kwani kila alipoanguka alikuwa akipoteza fahamu. Hali hii ilitufanya kupoteza hela nyingi kwa ajili ya shughuli za matibabu za mama yetu. Kila wiki
    angepelekwa hopitalini ambapo tungetumia pesa nyingi ili apate nafuu.

    Ama kwa hakika alikuwa kipenzi chetu na hivyo hatungetaka kumpeleka hospitalini ili aweze kupata nafuu. Ndungu zangu wengine nao walisema kwamba pengine ilikuwa ni mambo yasiyo ya kawaida yaliyomfanya mama kuwa na shida ile kwanza katika umri wake na wakati ule.

    Ilitupa kazi ngumu kwani hatukuwa tukimwacha nyumbani peke yake.Alikuwa akipelekwa hadi msalani hii ilikuwan kazi ngumu iliyotokana na zimwi hili la ugonjwa wa kifafa.

    Tulijaribu kumtafutia tiba kutoka kwa madakatri wengine wenye tiba asilia lakini wote walikuwa kila mara wakikula pesa zetu kwani ugonjwa ule ulikuwa kila mara ukirudi kwa mama yetu swala ambalo lilikuwa likitutamausha kama wana wake.

    Mama alianza kupoteza jamani na hata wakati mwingine akaanza kusema kwamba tumwache afariki kwani alikuwa ameishi muda wa kutosha kwenye dunia.

    Hatukutaka vile kwani upendo wetu kama wanawe
    kwake ulikuwa wa kweli na kwenye kiwango cha juu. Kila aliyesikia wito wa mama yetu hakufurahikia kabisa.

    Kila mtu alitaka aendelee kuishi kwani alikuwa mzuri wa kutoa wosia na kusaidia katika mambo mbalimbali ya kifamilia.Hapo ndipo tulipatana na dakatri Kiwanga ambaye rafiki wa familia alitushauri kwamba daktari huyu wa miti shamba alikuwa na uwezo tajika wa kusuluhisha shida kama zile kwa tiba yake
    tajika.

    Tulichukua nambari ya daktari Kiwanga na kuwasiliana naye kwani tulitaka afueni ya haraka kwa mama yetu mzazi tuliyemdhamini. Tulipeleka kwa daktari Kiwanga na hapo
    akashugulikiwa.

    Daktari Kiwanga alitupa imani kwamba hali ilikuwa shari kwani tiba ya mitishamba aliyokuwa amempea ilikuwa yenye mafanikio. Tulirejea nyumbani na kuwa na
    imani kwamba hali ya mama yetu ilikuwa shwari.

    Ama kwa hakika hakuna lolote ambalo
    lilitokea tena kwa mama kwani daktari Kiwanga alikuwa kesha tupea suluhisho.

    Hivyo ndivyo tulivyopata nafuu ya mama kutokana na ugonjwa wa kifafa. Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo.

    Husuluhisha shida za kifamilia na mengine kadhaika. Ama kwa hakika daktari Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii
    kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama maisha bora
    yenye matamanio.

    Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama tembelea
    wavuti www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

    Previous articleUBORA WA BIDHAA ZA EXPANSE STUDIO KUONEKANA MALTA -2021 STIGMA ULAYA
    Next articleYANGA KUWAFUATA NAMUNGO LEO