UBORA WA BIDHAA ZA EXPANSE STUDIO KUONEKANA MALTA -2021 STIGMA ULAYA

Expanse studio wanatarajia kuonesha ubora wa bidhaa zao kwenye maonesho ya michezo ya mtandaoni makubwa zaidi duniani ya 2021 SIGMA huko Malta. Nafasi bora ya Meridianbet kuonesha ubora wa bidhaa zake.

Expanse Studio ni waandaaji waliochipukia kwa kasi zaidi duniani kwenye uandaaji na uendelezaji wa michezo ya kasino, ambao wana jivunia nafasi yao katika soko la ulimwengu wa michezo ya mtandaoni.

Mwaka huu, Expanse Studio ya Meridianbet wanshiriki kwenye maonesho ya 2021 SIGMA –Europe huko Malta, wakiwa na orodha ya michezo yao bora mpya kabisa Sokoni, wataiwasilisha kwa wapenzi wao wote duniani kupitia maonesho haya pale Malta Fairs na Convention Centre kati ya tarehe 15 na 19 Novemba.

Expanse Studio kupitia Meridianbet, na wana bidhaa zao nyingi zenye ubora kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, ambayo unaweza kuiona hapa.

Baada ya  michezo bora kabisa ya Titan Roulette Deluxe, Circus Fever Deluxe, Titan Dice, ikiwa ni sehemu ya michezo bomba kabisa kutoka Expanse Studio, michezo mipya itaonesha sababu kubwa nyuma ya maendeleo ya waandaaaji wanaobamba zaidi kwa michezo ya kasino. Michezo hii yote inapatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Umaarufu wa michezo ya Expanse Studio, unatokana ubora na mfumo wa michezo hii, pia bonasi mbali mbali zinazokuja na michezo hii.

Expanse studio ni nyota inayochipukia kwa upande wa utengenezaji wa michezo yakasino. Wakiwa na michezo zaidi ya 30 ya sloti, ya meza na michezo ya kujipima uwezo ambayo imeendelezwa mpaka sasa.

Timu ya Expanse Studio imeleta namna mpya ya kufurahia michezo ya mtandaoni, uzoefu mpya kabisa Sokoni, wakiwa na michezo ya simu iliyoendelezwa kwa teknolojia HTML5, kukiwa na kiwango bora cha mizunguko ya bure na jakpoti kubwa.

Kufurahia michezo mingi zaidi ya Expanse Studio, tembelea ukurasa wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Mtandao mkubwa sana wenye bidhaa za radha ya kipekee kwenye michezo ya mtandaoni unakusubiri kwa hamu kukuwakilisha kule Malta!