AZAM FC BILA DUBE MAJANGA
KWENYE safu ya ushambuliaji Azam FC kwa sasa inapata tabu kwelikweli bila ya uwepo wa Prince Dube ambaye anatibu majeraha yake kwa kuwa hakuna mchezaji ambaye ameweza kufikia rekodi ya mabao ambayo aliweza kufunga baada ya kucheza mechi tano. Kwenye mechi tano msimu wake wa kwanza wa 2020/21 nyota huyo alifunga jumla ya mabao sita…