PABLO Franco, leo Novemba 19 anatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara na jeshi lake linatarajiwa kuwa namna hii:-
Aishi Manula.
Shomari Kapombe.
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Pascal Wawa
Jonas Mkude
Hassan Dilunga
Mzamiru Yassin
Meddie Kagere
Kibu Dennis
Morison Bernard