
SIMBA YAICHAPA MABAO 3-1 RUVU SHOOTING
KIKOSI cha Simba leo Novemba 19 kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa umegawanywa kwa vipindi viwili ofauti Simba ilikuwa bora kipindi cha kwanza na iliweza kufunga mabao yote matatu kupitia kwa Meddie Kagere dakika…