SIMULIZI YA MZAZI ALIYEKUWA KWENYE UHUSIANO WA MASHAKA

  SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa kwenye uhusiano wa mashaka

  Kila mtu hutaka awe na uhusiano mzuri haswa na wazazi wake. Ama kwa hakika uhusiano mzuri na mzazi huwezesha mtu kupata Baraka kutoka kwa wazazi wale na hata mambo mengine
  kama kurithi mali yao kuwa rahisi kupata suluhu.

  Kwa jina ni Omolla kutoka katika kaunti ya
  Homa Bay. Nilikuwa mwana pekee katika familia yetu. Wazazi wangu walithamini sana na kwa
  mara nyingi hawakutaka jambo baya litokee katika maisha yangu wakati wowote ule.

  Baada ya kufika katika chuo kikuu, hapo ndipo nilianza kuwa na misimamo mikali kuhusu babangu mzazi. Kwa mara nyingi hatukuskizana naye kwani hata nilimdhalilisha kwa kuwa hakuwa amesoma kufikia chuo kikuu kama vile mimi.

  Nilisahau kwamba yeye ndiye aliyeniwezesha kupata elimu ile
  mpaka kwenye chuo kikuu na hapo nikaanza kumpa mgongo. Chochote alichonieleza sikutilia maanani na kwa wakati mwingi nilikuwa wa kumdharau.

  Licha yake kuwa babangu mzazi, nilikuwa nikibishana naye mithili ya kijana mwingine tu wa rika yangu na hilo halikumfurahisha
  kwa kila hali. Suala hili lilipelekea yeye kunitelekeza kabisa na hata akanieleza waziwazi kwamba sikuwa mtoto wake kabisa na kwamba sikuwa kwenye hesabu yake kama mwanawe.

  Kwa mara nyingi mama mzazi alikuwa akijaribu kumaliza uhasama baina yetu lakini yote yalikuwa
  ni usiku wa giza totoro kwani hatukupatana na babangu mzazi.

  Nilikuwa na misimamo hasi kumhusu naye pia alikuwa kesha nitelekeza kama mwanawe na mwanawe wa pekee.Ilifikia wakati fulani babangu aliugua sana na hata alionyesha ishara kwamba alikuwa kwenye safari yake ya mwisho duniani.

  Hapo nilikuwa mwenye hofu kwani nilitaka tusameheane kwani
  haikuwa vizuri aiage dunia tukiwa na kutoelewana baina yetu. Nilienda hospitalini alipokuwa amelazwa kwa ajili ya msamaha wake.

  Hapo alikataa kunisamehe licha ya ushawishi wa mama
  wa kuleta mapatano baina yetu. Siku zilisonga na bado mtafaruko baina yangi na babangu uliendelea kuwepo.

  Siku ziliendelea kusonga na hata nikapata kuoa lakini bado mimi na
  babangu mzazi tulikuwa na misukosuko ya kutoelewana.

  Niliketi chini na kijifikiria vizuri nikapata kujua kwamba mimi ndimi nilikuwa na makosa. Hapo nilianza mikakati ya kuleta uhusiano na babangu mzazi kwani nilimdhamini sana kama baba.

  Niliweza kumshirikisha rafiki yangu Marley na hapo akanipa ushauri kwamba daktari Kiwanga aliwahi msaidia kumaliza shida sampuli ile ambayo aliwahi kuwa nayo yeye na babake kwa
  wakati mmoja.

  Nilimpigia daktari Kiwanga baada ya swahiba wangu kunipa nambari yake. Alinialika ofisini pake kwa usaidizi. Daktari Kiwanga alifanya tambiko lake la kiasilia ambapo alinipa hakikisho uhusiano wangu na babangu ulikuwa urejee katika siku kama za kitambo.

  Nilirejea nyumbani na kufunga safari kwenda kijijini kumuana baba. Mara hii yeye ndiye aliyenikaribisha na hapo nikajua kwamba daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kuaminika katika
  usaidizi wake.

  Tangu siku ile uhusiano wangu na babangu ulikuwa ni dhabiti ajabu. Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa
  mengineyo.

  Husuluhisha shida za kifamilia pamoja na mambo mengine kadhalika. Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama
  maisha bora yenye matamanio.

  Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha
  shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

  Previous articleINIESTA NA MESSI WATAJWA BARCELONA
  Next articleAJIBU AONDOLEWA KIKOSINI SIMBA NA MUGALU