Maswali ya Clatous Chama 2026

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameachia maswali kuhusu kiungo mshambuliaji Clatous Chama ambayo ameyapa jina la NECTA Form Four 2026 kupitia ukurasa wake wa Instagram namna hii:-

1 (a) What is Chama
(b) Types of Chama
(c) Characteristics of Chama

(a) Chama is the Branch of football which deals with assisting, scoring Puskas Goal in the world

(𝐛) 𝐓𝐲𝐩𝐞𝐬 𝐨𝐟 𝐂𝐡𝐚𝐦𝐚

(1) Luka Modric
(2) Lionel Messi
(3) Bruno Fernandez
(4) Jack Grealish
(5) Osmane Dembele

(𝗰) 𝗖𝗵𝗮𝗿𝗮𝗰𝘁𝗲𝗿𝗶𝘀𝘁𝗶𝗰𝘀 𝗼𝗳 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮

(1) Ana Utulivu
(2) Ana Akili
(3) Anapenda assist kuliko kufunga
(4) Anapiga Chenga manukato
(5) Kadri umri unavyosonga mbele anakua hatari zaidi
(6) Amefunga goli bora la Dunia 2026
(7) Ukimgusa unafungiwa mechi 3