GSM, Uongozi wa Yanga Wakutana Kujadili Mradi wa Uwanja wa Kisasa
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Ally Said, ameongoza kikao maalumu kilichojadili mustakabali wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Klabu hiyo katika Makao Makuu ya Jangwani, Dar es Salaam. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Ghalib Said Mohammed (GSM), Rais wa GSM Group of Companies, ambaye ni mbia mkuu na mshindi wa zabuni ya ujenzi…