PABLO AGOMEA BUTUABUTUA NDANI YA SIMBA
WACHEZAJI wa Simba wameketishwa kikao na Kocha Mkuu, Pablo Franco, raia wa Ufaransa na kuambiwa kwamba wanapaswa kuonyesha uwezo wao wote walionao huku wakipigwa marufukuku mipira ya butuabutua. Kwenye mazoezi ambayo waliyafanya jana Uwanja wa Boko Veteran Pablo alionekana kuwa mkali kwa wachezaji watakaobutua huku akiwataka wacheze soka la utulivu. Mabingwa hao watetezi wana kibarua…