
ANSU ANAAMINI HAWEZI KUMFIKIA MESSI
KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa jezi ya Lionel Messi. Fati alikubali kusaini mkataba mpya wa miaka sita na Barcelona na sasa dau lake la usajili ni Euro bilioni moja jambo ambalo linaonekana kuishtua dunia. Kinda huyo ambaye anatajwa kuwa…