>

TENGENEZA MKWANJA KUPITIA MUENDELEZO WA NBA, EFL NA SERIE A

Ni wakati wa kutengeneza faida kwa dau utakaloliweka kwenye michezo ya wiki hii. NBA, Carabao Cup na Serie A kuendelea kutoa burudani ya faida. Tunisha mifuko yako kwa kuzifuata Odds za ushindi, mambo yapo hivi;

 

Arsenal kuchuana na Leeds United katika muendelezo wa Carabao Cup jumanne hii. The Gunners wanaingia uwanjani wakiwa wametoka kushinda mchezo wao wa EPL huku The Whites, wakiwa waliambulia pointi 1. Mshindi atasonga mbele huku aliyepoteza akiyaaga mashindano ya EFL msimu huu. Ifuate Odds ya 1.58 kwa Arsenal.

Usiku wa kuamkia Jumatano, Utah Jazz watachuana na Denver Nuggets kwenye NBA. Jazz hajapoteza mchezo wowote mpaka sasa huku Nuggets, wakiwa wamepoteza michezo 2 na kushinda mchezo 1. Nani kuibuka kidedea? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.29 kwa Jazz.

 

Jumatano hii, West Ham United watawaalika majirani wa United, Manchester City. Hakika, David Moyes anajambo lake na timu za Manchester, aliwatoa United na sasa anakutana na City. Atafanikiwa kuiangusha Manchester yote au itakuaje? Odds ya 1.45 ipo kwa Man City kupitia Meridianbet.

 

Kwenye Serie A alhamisi hii, Napoli watawaalika Bologna katika dimba la Maradona Stadium. Pointi 3 ndio kitu cha muhimu kwa timu zote mbili, nani kuzipata na nani kuzikosa, watagawana? Odds yako ya ushindi ni 1.37 kwa Napoli ndani ya Meridianbet.

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!