Home Sports BREAKING: SIMBA YATIMUA MAKOCHA WAKE WATATU

BREAKING: SIMBA YATIMUA MAKOCHA WAKE WATATU

 

 KLABU ya Simba imetangaza kuachana rasmi na Kocha wake Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa baada ya pande zote mbili kufikia maridhiano.

Hatua hii inakuja ikiwa ni siku mbili tangu Simba alipoondoshwa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kupokea kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa Jwaneng Galaxy ya Botswana, juzi Jumapili.

Previous articleMAKOCHA SIMBA KUPIGWA CHINI
Next articleBREAKING OLE KUBAKI MAN UTD