
CAF YAONGEZA ZAWADI WAFCON KWA ASILIMIA 45, BINGWA KUVUNA MILIONI MOJA YA DOLA
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza ongezeko la asilimia 45 ya pesa za zawadi…
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza ongezeko la asilimia 45 ya pesa za zawadi kabla ya kuanza kwa kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON). Morocco itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo kuanzia Julai 5-26 katika miji mitano tofauti. Bingwa ataondoka na kitita cha USD1,000,000, ongezeko la 100%, huku mshindi wa pili akiweka mfukoni…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, sasa amesalia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, wagombea wengine waliokuwa wamejitokeza kuwania nafasi hiyo wameshindwa kutimiza sifa kwa mujibu wa…
Michuano ya kombe la Dunia kwa vilabu inazidi kuendelea ambapo sasa ni hatua ya Robo Fainali na Meridianbet kila siku wao wanatafuta namna pekee ya wewe kuweza kuondoka na mpunga wa maana kabisa na mechi hizi. Bashiri kwa GG&3+ mechi ya Fluminense vs Al Hilal ushinde pesa mara 2 zaidi. Hii ni Robo Fainali kali…
Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kumteua Miguel Ángel Gamondi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja, kuelekea msimu wa mashindano wa 2025/2026. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo, imeelezwa kuwa uamuzi huo ni sehemu ya mpango wa kuimarisha kikosi na kuongeza ushindani katika ligi kuu na michuano…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwa kuwa tayari wameanza kushusha mashine za kazi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 kwa kumtambulisha beki wa kazi ambaye ni mzawa. Julai 3 2025 mabosi wa Azam FC wamemtambulisha rasmi Lamek Lawi kwa kandarasi ya miaka miwili beki huyo ambaye alikuwa chaguo la kwanza ndani ya Coastal Union…
MSHAMBULIAJI bora wa muda wote kwa sasa raia wa Ureno Cristiano Ronaldo ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Diogo Jota na kaka yake Andre Silva. Ulimwengu wa mpira kwa sasa unaomboleza kufuatia kutangulia mbele za haki kwa kijana huyo mwenye miaka 28. Kijana huyo alikuwa kwenye safari kuelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya…
Kampuni ya ubashiri inayongoza Tanzania, Meridianbet, imezindua promosheni mpya ya kusisimua kwa wapenzi wa mchezo maarufu wa Aviator. Kuanzia tarehe 1 Julai hadi 31 Julai 2025, wachezaji wana fursa ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kwa kucheza mchezo huu wa kuvutia. Masharti ni rahisi, cheza Aviator kama kawaida wakati wa promosheni. Kila wiki, wachezaji…
NYOTA Diogo Jota, ametangulia mbele za haki kwa ajali akiwa na miaka 28 tu. Mchezaji huyo wa mpira wa lipoteza maisha yake katika ajali ya gari iliyotokea Zamora karibu na mpaka wa Kaskazini-Magharibi kati Uhispania na Ureno. Katika gari hiyo alikuwa na kaka yake ambaye naye ametangulia mbele za haki. Waajiri wake Liverpool mabingwa wa…
Msemaji wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, ameonyesha wazi furaha na shukrani zake kwa Mungu baada ya kufunga ndoa na mchumba wake, Radhia Migomba, akimuelezea kwa maneno ya upendo na heshima ya hali ya juu. Kupitia kauli yake yenye kugusa mioyo ya wengi, Ahmed Ally alisema: “Radhia ni zawadi kutoka kwa Mungu. Ni mwanamke…
Mchezaji wa kimataifa wa Ureno, Diogo Jota, aliyekuwa na umri wa miaka 28, amefariki dunia mapema leo asubuhi, Julai 3, 2025, katika ajali mbaya ya gari iliyotokea kwenye mkoa wa Zamora, nchini Hispania. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari vya Hispania na Uingereza, ajali hiyo imetokea katika eneo la Palacios de Sanabria na…
KOCHA Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan, Florent Ibenge inatajwa kuwa amemalizana na matajiri wa Dar, Azam FC kuwa kwenye benchi la ufundi kwa msimu wa 2025/26. Inaelezwa kuwa Ibenge amemalizana na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC msimu wa 2024/25 imeambulia patupu kwenye mataji…
ISRAEL Mwenda, beki wa kulia wa Yanga SC ndani ya kikosi cha Yanga SC alikimbiza kwa muda mfupi ambao alitua hapo. Mwenda alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi na kwenye mchezo dhidi ya mabosi wake wa zamani Simba SC alipewa kazi maalumu kumkaba Ellie Mpanzu nyota wa Simba SC. Mwenda ameweka…
Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi endapo pande zote zitakubaliana. Hamdi anajiunga na Ismaily akitokea Yanga , ambako aliandika historia ya…
INAELEZWA kuwa nyota wawili wa Yanga SC hawatakuwa ndani ya kikosi hicho kilichotwaa ubingwa wa ligi ya NBC msimu wa 2024/25. Ni Jonathan Ikangalombo ambaye kwa msimu wa 2024/25 alipata nafasi kucheza mechi sita akitoa pasi mbili za mabao na straika Mzambia Kennedy Musonda ambaye alipata nafasi kucheza mechi 14 za ligi na kufunga mabao…
Kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imezindua promosheni mpya inayowapa wateja wake nafasi ya kujishindia simu ya kisasa aina ya Samsung A25. Kupitia huduma ya USSD, kila mchezaji anaweza kubashiri mechi za ligi mbalimbali bila intaneti, kwa kupiga *149*10# moja kwa moja kwenye simu. Promosheni hii ni ya mwezi mmoja pekee ambayo imeanza tarehe 01 Julai…
Meridianbet, kwa ushirikiano na Airtel Money, imezindua kwa ufahari kampeni ya “Shinda Kibabe na Airtel Money” ambayo inawapa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet nafasi ya kushinda zawadi za kipekee. Kuanzia pikipiki mpya ya Bajaj, safari ya siku mbili Zanzibar kwa watu wawili, TV za Hisense, simu 20 za…
Michuano ya kihistoria ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA inayoendelea nchini Marekani imeingia katika hatua ya robo fainali huku timu nane bora zikibainika baada ya mechi kali na ushindani wa kiwango cha juu. Timu hizo, ambazo zimeonyesha ubora wa hali ya juu kutoka mabara mbalimbali, sasa zitachuana kuwania tiketi ya nusu fainali katika…