
YANGA SC YAIPIGIA HESABU SINGIDA BLACK STARS
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa unalitaka kombe lao la CRDB Federation Cup kwa kuwa wao ni watetezi licha ya kukutana na timu ngumu fainali. Juni 29 2025 Yanga SC itacheza na Singida Black Stars mchezo wa fainali. Yanga SC imetoka kutwaa taji la 31 la Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-0…