
SIMBA SC KUPIGA PANGA MASTAA WAKE
SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids inaelezwa kuwa kwenye mpango wa kuachana na mastaa wake zaidi ya watano kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Simba SC imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo. Pointi 78 baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700. Safu ya ushambuliaji imefunga mabao 69 ikiwa namba mbili kwa timu…