
JESHI LA YANGA SC DHIDI YA SIMBA SC, CHAMA BENCHI
KIUNGO Clatous Chama ameanzia benchi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili. Wengine ni Mshery, Kibwana Shomari, Nondo, Farid Mussa, SureBoy, Willson, Shekhan, Ikangalombo na Mzize ambapo Yanga SC inahitaji sare ama ushindi kutwaa ubingwa. Wachezaji wa kikosi cha kwanza ni Djigui Diarra, Israel Mwenda,…