
RONALDO APIGA MKWARA MZITO
STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametembeza mkwara mzito kwa kubainisha kwamba atawafunga mdomo wale wanaoikosoa timu hiyo kwa sasa. Ronaldo ambaye ni ingizo jipya ndani ya United ambapo aliibuka huko akitokea ndani ya kikosi cha Juventus amebainisha kwamba anachukia kuona timu hiyo inafeli. Nyota huyo anaamini kwamba timu hiyo inapitia kipindi kigumu kwa muda…