
SINGIDA BLACK STARS HESABU ZAKE KWA SIMBA SC
UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao zote ni kuelekea…
UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao zote ni kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba SC ambao ni mzunguko wa pili. Singida Black Stars kwenye msimamo wa ligi ipo nafasi ya nne ikiwa imekusanya jumla ya pointi 53 inatarajiwa kumenyana na Simba SC iliyo nafasi ya…
Taarifa za kuaminika ni kuwa maafisa wa CAF wameeleza kuwa wamejiridhisha uwanja wa Benjamin Mkapa upo vizuri kwa michuano ya CHAN 2025 mwezi August ( Kenya ) Pia TFF na Simba SC imeomba review ya kuchezea uwanja huo fainali ya CAFCC baada ya ukaguzi huo wa michuano ya CHAN na CAF wamekubali review hiyo na…
WACHEZAJI ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora wanapambana katika kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja msimu wa 2024/25. Kwenye eneo la ufungaji kuna wakali katika kucheka na nyavu hapa tunakuletea orodha yao namna hii:- Jean Ahoua-15 Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC yeye ni namba moja akiwa katupia…
INAELEZWA kuwa kiungo wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Aziz Ki anasepa mazima ndani ya kikosi hicho baada ya kupata ofa kutoka Wydad ambayo inahitaji huduma yake. Taarifa zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa kiungo huyo akaondoka mapema kujiunga na timu mpya kwa ajili ya changamoto mpya. Ki…
SHOMARI Kapombe, nahodha msaidizi wa Simba SC na beki wa kikosi hicho ameweka wazi kuwa wanatambua wamepoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane lakini watapambana kupata matokeo mchezo wa pili. Ikumbukwe kwamba Mei 17 2025 kwenye mchezo wa hatua ya fainali ya kwanza uliochezwa nchini Morocco…
Meridianbet imezindua mchezo mpya wa sloti ambao kila mchezaji lazima aujaribu! Karibu kwenye GATES OF OLIMPIA, sloti ya kusisimua kutoka Expanse Studios, ambapo kila mzunguko wa reels unafungua lango la bahati, zawadi, na utukufu wa kipekee. Mchezo huu ni mzigo kamili kwa mashabiki wa sloti, wale wanaopenda ushindi wa haraka, na watu wanaotafuta njia rahisi…
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekata tiketi ya kutinga hatua ya fainali. Katika mchezo wa nusu fainali CRDB Federation Cup iliyochezwa Mei 18 2025 ubao umesoma 2-0 JKT Tanzania Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mabao ya Prince Dube dakika ya 41 kwa makosa ya safu ya ulinzi…
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi leo Mei 18, 2025 ameibuka kidedea katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika. Katika uchaguzi uliofanyika Geneva nchini Uswisi, Janabi alikuwa akichuana na wenzake wanne, Dk. N’da Konan Yao wa Ivory Coast, Dk Drame Lamine wa Guinea, Dk…
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 17, 2025 amekagua ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua maboresho ya viwanja kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya AFCON na CHAN yanayotarajiwa kufanyika nchini hivi karibuni. Akiwa uwanjani hapo, Majaliwa ambaye aliambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni,…
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kuelekea kumalizika kwa ligi mbalimbali wanakupatia Odds za kibabe kabisa ambazo zitakufanya utambe mjini leo. Unasubiri nini sasa kusuka jamvi lako hapa? BUNDESLIGA kule Ujerumani kumalizika leo ambapo RB Leipzig ataumana dhidi ya VFB Stuttgart ambapo tofauti yao ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana RB alipigika hivyo leo…
JKT Tanzania kamili kwa mchezo dhidi ya Yanga SC Masau Bwire abainisha wazi kuwa wapo tayari kwa mapambano ndani ya uwanja Mkwakwani, Tanga dakika 90 za jasho kwa wababe wawili MASAU Bwire, Ofisa Habari wa JKT Tanzania amesema kuwa wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Yanga SC mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei…
• Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amefunguka kuhusu mkataba wa Ellie Mpanzu. • Ellie Mpanzu anatajwa kuwa kwenye rada za timu mbalimbali kutokana na kiwango ambacho amekionyesha. • Clatous Chama, Jonas Mkude wametajwa namna hii
Khalid Aucho amerejea uwanja wa mazoezi kamili kwa kazi kuwakabili JKT Tanzania. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa taji hilo Pacome kiungo wa kazi anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaotoa burudani, Mkwakwani Tanga YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi ipo kamili kuwakabili wapinzani wake kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya JKT…
Jean Ahoua kwenye mtihani mzito ugenini kimataifa dhidi ya RS Berkane Mei 17 2025. Ligi Kuu Bara anaongoza kwa kufunga mabao mengi akiwa nayo 15 kibindoni. Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC abainisha bado sana. KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Jean Ahoua ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu…
Katika ulimwengu wa michezo ya kasino ya kisasa, kuna michezo – halafu kuna Gates of Olimpia, uzinduzi mpya kutoka Expanse Studios, unaopatikana kwa kipekee kupitia Meridianbet. Huu ni mchezo unaochochea akili, unazungumza na roho ya mbunifu, na kuamsha kiu ya ushindi kwa njia ya kipekee. Ukiwa na mfumo wa 6×5 reels, ushindi hupatikana kwa alama…
Leo hii mechi za pesa zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo EPL mechi kali Ijumaa ya leo ni hii ya Chelsea vs Manchester United ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 24. Mechi ya…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wao dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa Mei 17 2025. Tarai kikosi cha Simba SC kipo nchini Morocco kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo na ule wa pili unatarajiwa kuchezwa Tanzania. Awali mchezo wa fainali ya…