
KOCHA WA AL HILAL KUINOA AZAM FC MSIMU MPYA?
KOCHA Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan, Florent Ibenge inatajwa kuwa amemalizana na matajiri wa Dar, Azam FC kuwa kwenye benchi la ufundi kwa msimu wa 2025/26. Inaelezwa kuwa Ibenge amemalizana na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC msimu wa 2024/25 imeambulia patupu kwenye mataji…